JUMAPILI 07 Septemba 2025
Ratiba – Jumapili, Septemba 7
WAJUMBE KUWASILI
10:00 Jioni, Kuwasili, Kusajili, Kupumzika, – Eliza Kusekwa
JUMATATU 08 Septemba 2025
MKUTANO MKUU WA NNE NTUC
Jumatatu, Septemba 8, 2025
1:30 Asb, Kuwasili Ukumbini, Davis Fue & Elizabeth Kusekwa/Kwaya Alikwa
2:00-2:30 Asb, Saa ya Sala & Nyimbo- Joseph Lusega (JL) & Pardon N. Kikiwa (PNK)
2:30-4:00 Asb, Ibada ya Asubuhi
Ukaribisho wa Jumla, Stephen Manema (SM)
Wimbo, NZK#94- “Po Pote Mashamba Yajaa.”- PNK
Ombi – TBA
Utambulisho & Kutambua-
Magulilo Mwakalonge (MJM) & Mark Malekana (MWM)
Wimbo wa Kwaya- Kirumba Adventist Choir
Hubiri & Ombi – Blasious M. Ruguri (BMR)
4:00-4:15 Asb, Pumziko
4:15-4:45 Asb, Shughuli za Kikao (Business Session)
Kauli ya Kukidhi Matakwa ya Katiba, MJM
Maelekezo ya Taratibu za Vikao, MJM & Moses Maka (MNM)
Kufungua Mkutano Rasmi, MJM
Kuzipokea Fields Mpya, MJM
Kuketisha Wajumbe, MJM
Kauli ya Utume, MJM
Ratiba ya Mkutano, MJM
Kamati za Huduma, MJM
Wimbo wa Kwaya, PNK
4:45 Asb – 7:00 Mchn, Shughuli za Kikao (Business Session)
Katiba na Sheria Ndogo Ndogo, MJM
Wasilisho la Mwenyekiti wa Union, MWM
Taarifa ya Katibu Mkuu wa Union, MJM
Taarifa ya Mhazini wa Union, Mathias E. Mavanza (MEM)
Kuunda Kamati ya Uchaguzi, BMR
7:00-8:00 Mchn, Chakula cha Mchana, Onesto Ilomo (OI)
8:00-11:00 Mchn, Shughuli za Kikao (Business Session)
Taarifa za Wakurugenzi/Kamati ya Uchaguzi
Taarifa ya Kamati ya Uchaguzi, BMR
Ombi Maalum, BMR
11:00-11:30 Jioni Hitimisho,
Neno la Shukrani, Mhazini, NTUC
Matangazo, Katibu Mkuu, NTUC
Kufunga Mkutano na Ombi la Mwisho, Mwenyekiti, NTUC